Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa

Aliyepandikizwa figo ya nguruwe aruhusiwa

Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe nchini Marekani aitwaye Richard Slayman (62) ameruhusiwa kutoka hospitali, baada ya kufanyiwa upasuaji wiki mbili zilizopita katika Hospitali ya Massachusetts nchini humo.

Wanasayansi ulimwenguni kote wamepongeza mafanikio hayo kwani hapo awali yaliwahi kufanyiwa majaribio kadhaa ya upandikizwaji wa viungo kutoka kwa nguruwe lakini yalifeli.

Ikumbukwe Machi 16 mwaka huu timu ya Madaktari ilifanikisha kupandikiza figo ya Nguruwe kwa mgonjwa huyo, upasuaji huo uliyofanyika masaa nane.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags