Aliyempulizia mtoto moshi wa shisha atafutwa

Aliyempulizia mtoto moshi wa shisha atafutwa

Baada ya kusambaa kwa video kupitia mitandao ya kijamii zikimuonesha mwanamke akimpulizia mtoto mchanga moshi wa shisha. Mamlaka jijini Lagos nchini Nigeria zimeanza msako mkali wa kutafuta mwanamke huyo.

Msako huo unakuja baada ya wadau mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii kuguswa na tukio hilo huku wakitoa wito kwa mamlaka husika kumsaidia mtoto huyo.

Tume ya Kupambana na Unyanyasaji wa Kijinsia Majumbani (DSVA) imewaahidi wananchi kumchukua hatua za kisheria mwanamke huyo kulingana na sheria za nchi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags