Aliyebuni kifaa cha kugeuza ‘pleti namba’ ya gari kukwepa ushuru adakwa

Aliyebuni kifaa cha kugeuza ‘pleti namba’ ya gari kukwepa ushuru adakwa

Mwanaume mmoja kutoka New Jersey, anayefahamika kwa jina la Adam Jimenez, amedakwa na polisi katika eneo la Tristate baada ya kutengeneza kifaa cha kugeuza ‘pleti namba’ ya gari lake ili kukwepa ushuru.

Mwanaume huyo amebuni kifaa ambacho kimekuwa kikigeuza namba ya gari kwa lengo la kukwepa ushuru kwenye Daraja la George Washington.

Licha ya mashitaka hayo yanayo mkabili lakini pia polisi wameeleza si mara ya kwanza kwa mwanaume huyo kudakwa kwani mwazo aliwahi kukamatwa kwa kulinda namba yake ya siku kupata huduma bure kwa kutumi njia za kielekroniki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags