Aliye kuwa mchezaji wa Barcelona kizimbani kwa  unyanyasaji wa kingono

Aliye kuwa mchezaji wa Barcelona kizimbani kwa unyanyasaji wa kingono

‘Beki’ wa zamani wa ‘Klabu’ ya #Barcelona na ‘timu’ ya Taifa ya #Brazil, #DaniAlves anatarajia kuwasili mahakamani kujibu mashtaka ya tuhuma za unyanyasaji wa kingono.

 

Mchezaji huyo mwenye umri wa 40 anakabiliwa na mashitaka hayo ya kumnyanayasa kingono mwanamke mwenye umri wa miaka 23 na endapo atakutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka minne au 15 jela.

 

Licha ya #DaniAlves kukamatwa Januari 20 mwaka huu na kuendelea kusota chini ya kizuizi mchezaji huyo amekana mashitaka hayo yanayo mkabili.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags