Alisha adai kutaka kununuliwa kimapenzi na  mchezaji mkubwa wa ‘soka’

Alisha adai kutaka kununuliwa kimapenzi na mchezaji mkubwa wa ‘soka’

Mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake Alisha Lehmann ambaye anakipiga kupitia ‘klabu’ ya Aston Villa, kupitia mahojiano yake hivi karibuni aweka wazi kuwa kuna mchezaji wa mkubwa wa kiume alitaka kumnunua kimapenzi.

Kufuatia mahojiano yake na Dir Tea Talk Podcast, mchezaji huyo ameeleza kuwa kuna mchezaji wa soka mkubwa anayetambulika kimataifa aliwahi kumtumia sms ya kutaka kumpa 90,000 Euro ili alale naye kwa usiku mmoja.

Anadai licha ya kumkataa mchezaji huyo aliendelea kumsumbua mrembo huyo kwa kutuma mlinzi na agent wa mchezaji huyo ili aweze kumkubalia, lakini alionesha msimamo wake kwa kukataa huku akisisitiza katika mahojiano yake kuwa ana ushahidi wa sms ambazo bado hajaamua kuweka wazi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags