Alikiba awajia juu Babu tale na SallamSk

Alikiba awajia juu Babu tale na SallamSk

Aloooooh! Kumekucha kumekucha naona kama mwaka unataka kuisha na vita flani hivi sio pouwa yani bwana bwana Staa wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba amewajibu Mameneja kutoka lebo ya WCB Babutale  na Sallamsk kutoa List ya Wasanii waliofanya vizuri kwa Mwaka 2022.

kwa mujibu wao Ambapo kwenye List hizo katika List alioiweka SallamSk amemuwekwa king Kiba Nafasi ya 7 Huku kwenye List ya Babutale hayupo.

Basi bwana kupitia ukurasa wake wa Instagram King akaamua kushusha ujumbe mzito ukiwa unasema kuwa “I think mmeshajulika kama nilazima mchokonolewe, Ndio mfunction ,ili jambo lenu liende .
Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachokunoe maana mtakua mmekamilisha malengo yenu kwabahati mbaya Njomba Hajawagundua ila mimi nawajua vizuri for your ℹ️” ameandika Ali Kiba




Uwiiiiih! Hakuishia hapo bwana aliendelea kwa kuandika “Sisumbuki tena Najua hata hiki nilicho kiongea hapa kitawasaidia kwasababu mimi ni KING. wenu tena maana msije mkasema waporini wakati ni wewe ndio waporini. Tena mmekaa kikao kujadili na kurank wasananii
WHO ARE YOU? Nitaongea jambo lenu likiishaHaya sasa nadhani nimewachokunoa vyakutosha tena kwa malengo mnayoyataka have nice show” ameandika King Kiba

mmmmmmh! Haya haya mwanangu sana embu sogea hapa kwenye komenti na utueleze je ilikuwa ni sahihi King kiba kuwajibu au laah!.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags