Alikiba amshusha Diamond Youtube

Alikiba amshusha Diamond Youtube

Baada ya Diamond kutoa tamko kuwa hatoshuka namba one on treanding katika mtandao wa YouTube hadi Januari hatimaye King Kiba ametengua kauli hiyo baada ya wimbo wake wa “Huku” aliyomshirikisha Tommy Flavour kushika namba one trending katika mtandao huo huku wakiwa ameushusha wimbo wa Diamond na Koffi wa “Achii” hadi namba mbili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags