Aliekuwa kocha wa Simba Zoran aanza kwa kishindo Misiri

Aliekuwa kocha wa Simba Zoran aanza kwa kishindo Misiri

Aliye kuwa kocha mkuu wa zamani wa klabu ya Simbasc Zoran Maki ameendelea kufaya vizuri katika Ligi Kuu ya Misri akiwa na klabu yake ya Al Ittihad baada ya jana kupata ushindi wake wa pili mfululizo.

Al Ittihad imeichapa El Daklyeh mabao 2 kwa 0, ushindi ambao unawapeleka mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya Misri.

Zoran Maki akiwa na Al Ittihad mpaka sasa amecheza Mechi – 2, Ushindi – 2, Alama – 6 mabao ambayo amefunga ni 3 na hakuna bao la kufungwa, hii imewasaidia kuwa katika nafasi ya pili katika msimu wa ligi kuu nchini Misri.

Aidha mwamba Zoran yuko mbele ya Al Ahly kwenye msimamo wa ligi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags