Ali Kamwe: Kama hawawezi kushinda wasisafirishe watu

Ali Kamwe: Kama hawawezi kushinda wasisafirishe watu

Msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Ally Kamwe baada ya ‘timu’ yake kushinda bao 2-0 dhidi ya Al Merrikh, kama kawaida yake amewatania watani wake Simba kwa kuwaeleza kuwa kama hawawezi kushinda wasisafirishe mashabiki.

Ally Kamwe ameyasema hayo baada ya mpira kuisha na kufanya Yanga kurudi nyumbani na kicheko msemaji huyo ameeleza kuwa,

“Kama hawawezi kishinda ugenini wasisafirishe watu”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags