Alabama kuzindua kitanda cha kutolea adhabu ya kifo

Alabama kuzindua kitanda cha kutolea adhabu ya kifo

Jimbo la Alabama nchini Marekani linatarajia kuzindua kitanda maalumu ambacho kitatumika kutolea adhabu ya kifo ambayo iliithinishwa tangu mwaka 1982.

Hii ni baada ya jaribio la kutimiza adhabu hiyo kwa kutumia sindano ya sumu kwa Kenneth Eugene Smith kutofanya kazi mwaka 2022. Iwapo Serikali hiyo itafanikiwa kuzindua kitanda hicho itakuwa jimbo la kwaza kutumia gesi ya ‘Nitrojeni’ kwa adhabu ya kifo. 

Kitanda hicho kiitwacho ‘Hypoxia ya Nitrojeni’ husababisha kifo kwa kuunyima mwili Oksijeni, na kufanya mtu apoteze fahamu ambapo kitasababisha kifo cha haraka.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags