Al-shabaab wavamia hoteli iliyopo karibu na Ikulu

Al-shabaab wavamia hoteli iliyopo karibu na Ikulu

Kutoka nchini Somalia ambapo Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na Maafisa wa Juu wa Serikalini

Pia, inadaiwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Mohamed Ahmed naye amenusurika katika tukio hilo ambalo Al-Shabaab wamekiri kuhusika nayo

Shahidi mmoja amesema alisikia mlipuko mkubwa, ukifuatiwa na majibizano ya risasi. Polisi wamesema hawajafahamu idadi ya wavamizi waliohusika lakini walikuwa na silaha za milipuko pamoja na bunduki






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags