Akimbia kilomita 90 kumchumbia mpenzi wake

Akimbia kilomita 90 kumchumbia mpenzi wake

Ukisikia mapenzi upofuu ndo haya sasa yaliyomkuta kijana mmoja kutoka nchini Afrika Kusini akikimbio mbio za kilomita 90 (maili 56) ili kumchumbia binti.





Mwanamume huyo aliyetambulika  mwenye umri wa miaka 57, aliyetambulika kwa jina la Joseph Kagiso Ndlovu, ambaye alikimbia mbio hizo kwa lengo kumchumbia mwanamke anayeitwa Prudence.

Mwanamume huyo alipigwa picha akiwa ameshika bango la kumtaka mwanamke huyo aoane naye, alipokaribia kumaliza mbio za Marathon za Comrades.

"Prudence utakubali kuwa mke wangu? Nimekimbia kilomita 90 kwa ajili yako," aliandika kwenye bango.

Ebwana eeeh!!! Mambo hayo tuambie mdau wewe umeionaje njia hiyo? Dondosha comment yako hapo chini

Chanzo BBC.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags