Ajibadilisha kuwa kama mbwa ili amfurahishe mkewe

Ajibadilisha kuwa kama mbwa ili amfurahishe mkewe

Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, mnayajua mapenzi nyie, eeeeh mnajua kupendana au sio shida zenu, vipi uko tayari kujibadilisha kuwa nyau kwa ajili ya kumfurahisha mke wako?

Basi bwana Tom Peters raia kutoka nchini British aamua kujibadilisha kuwa kama mbwa kwa ajili ya kumfurahisha mke wake, hii imetokea baada ya kifo cha mbwa wao aina ya Damlmatian dog kufariki ambae mkewe alikuwa anampenda sana.

Tom aliamua kubadili muonekano wake na kuwa kama mbwa wao aliefariki kwa ajili ya kumfurahisha, inaelezwa kuwa kijana huyo hutembea kwa miguu na mikono, pia hula vyakula maalumu vya mbwa na muda mwingine huishi katika banda.

Aidha Peters ameyafanya hayo kumridhisha mke wake aweze kusahau machungu ya mbwa wao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags