Ahukumiwa kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanafunzi

Ahukumiwa kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanafunzi

Mwalimu katika shule ‘kibaptisti’ nchini #Marekani anayetambulika kwa jina la Anne Nelson-Koch, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono kwa wanafunzi wake wakiume.

Kwa mujibu wa Daily Mail News, inaelezwa kuwa mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 75, amepewa kifungo hicho cha miaka 10 baada ya kukutwa na makosa ya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanafunzi wake.

Mwaka 2022 Aprili, mwalimu huyo alishitakiwa kwa kumlazimisha mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 14 kumfanyia unyanyasaji wakijinsia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags