Agoma kupiga picha na mashabiki hadi watakapo mletea toilet paper

Agoma kupiga picha na mashabiki hadi watakapo mletea toilet paper

Msanii kutoka nchini Marekani Boosie Badazz amewashangaza wengi kwa kauli yake iliyosikika kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kukataa kupiga picha na mashabiki hadi wamletee toilet paper kwanza.

Baada ya mashabiki kumuomba Bossie apige nao picha akawajibu kuwa hawezi kupiga picha kwa muda huo hadi wamtafutie kwanza toilet paper aende chooni kisha atapiga nao picha






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags