Adekunle Gold aja na album mpya

Adekunle Gold aja na album mpya

Mwimbaji  kutoka nchini Nigeria maarufu kama Adekunle Gold  ambaye ni mtunzi wa nyimbo  amethibitisha kutoka kwa Album yake mpya ya “Catch me if you can”.

wa maisha ya juu wa Nigeria, mtunzi wa nyimbo na mbuni wa picha.

Kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram mwimabaji huyo wa maisha ya juu wa Nigeria ameamua kuthibitisha hilo.

Yap sio mchezo mdau wangu tuambie hapo kupitia website yetu www.mwanachiscoop.co.tz ni ngoma gani unaikubali kutoka kwake? Funguka.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags