61X9INE aiomba mahakama kumuonea huruma

61X9INE aiomba mahakama kumuonea huruma

Rapa kutokea pande za Marekani, 61x9ine ameiomba mahakama imuonee huruma kutokana na kuyumba kiuchumi.

Msanii huyo ambaye kwa sasa analipa fidia ya hela ndefu sana kutokana na tukio la wizi la mwaka 2018 alilolifanya jambo ambalo anahofu kwa sasa linaweza kumalizia fedha zake na kuyumba kiuchumi.

Katika hati iliyosainiwa Machi 7, 61x9ine ameeleza kuwa ana watoto wadogo wawili na mama yao wanaomtegemea na tangu mwaka juzi hakuna show yoyote aliyofanya tangu mwaka juzi.

Pia ameongeza kuwa mpaka sasa pia hakuna kampuni iliyojitokeza kutaka kufanya naye kazi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags