50 Cent mbioni kuandaa filamu kuhusu matukio ya P diddy

50 Cent mbioni kuandaa filamu kuhusu matukio ya P diddy

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #50cent yupo mbioni kuandaa filamu itakayohusu matukio ya unyanyasaji wa kingono yanayomkabili #PDiddy.

50 Cent amesema kuwa mapato yatakayopatikana kwenye filamu hiyo yataenda kwa wahanga walioathirika na vitendo vya kikatili walivyofanyiwa na Diddy.

Hata hivi filamu hiyo inaandaliwa na kampuni ya msanii huyo iitwayo ‘G-UNIT’ huku tarehe rasmi ya kuingizwa sokoni filamu hiyo bado haijawekwa wazi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags