21 Savage: Jay Z alitaka niwe bora

21 Savage: Jay Z Alitaka Niwe Bora

Aisee Rapper kutoka nchini Marekani 21 Savage amesema kuwa Jay Z alimsaidia katika kupata Mwanasheria Bora Kwenye Kesi Yake Lakini Hakutaka Malipo Yoyote Zaidi Ya  yeye kuwa bora.


Aidha ikumbukwe kuwa  Jay Z aliajiri mmoja wa wanasheria bora, aliyetambulika kwa jina la Alex Spiro ili  kusaidia Sakata la 21 Savage Mwaka 2019 ( Kesi Ya Uhamiaji Nchini Marekani Baada Ya Visa Yake Kuisha).

Ebwana eeeh!! Niambie mdau unadhani kibongobongo msanii gani anaweza kulifanya hili bila kutaka malipo? Tupia comment yako hapo kupitia website yetu www.mwananchi scoop.co.tz.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on Career and skills development every Monday and entertainment, every Friday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include SMARTPHONE and NIPE DILI.

Latest Post