‘For all the dogs’ yazidi kukimbiza

‘For all the dogs’ yazidi kukimbiza

Album ya mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Drake ya ‘For All The Dogs’ imefikisha jumla ya #Streams Bilioni 1 kwenye mtandao wa #Spotify ikiwa ni ndani ya mwezi mmoja tangu iachiwe.

Licha ya kufanya vizuri na kupokelewa kwa ukubwa, inaelezwa kuwa hivi karibuni #Drake anatarajia kufanya ziara katika miji yote nchini humo kwa ajili ya wimbo wa ‘First Person Shooter’ uliyopo katika #Album hiyo.

#Drake mpaka kufikia sasa amesha toa #Album takribani 20 ikiwemo ‘Take Care’, ‘More Life’, ‘Nothing was the Same’, ‘Thank me Later’.

Tuambiye ni wimbo gani unaukubali kwenye Album hiyo?

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags