TBT: DIAMOND PLATNUMZ

TBT: DIAMOND PLATNUMZ

Abdul Naseeb AKA Diamond Platnumz ni mmoja kati ya wasanii wa muziki maaarufu nchini na wanaotuwakilisha vyema katika anga za kimataifa.

Indeed, hakuna asiemjua, kuanzia Maisha yake ya music na hata personal life yake ilijaa drama za kila aina.

Today we give you a #TBT ya Diamond katika stage tofauti za Maisha yake. Ka sio yeye vile!

Unakumbuka nini kutoka kwa Diamond?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags