Sababu ya kifo cha muigizaji Betty White chatajwa

Sababu Ya Kifo Cha Muigizaji Betty White Chatajwa

Hatimaye sababu ya kifo cha Muigizaji Betty White imeanikwa hadharani na kuondoa sintofahamu iliyopo miongoni mwa mashabiki zake.

Imeripotiwa kuwa Betty alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya damu kuvuja katika ubongo na kupungikiwa na damu tatizo ambalo lilianza kumsumbua siku sita kabla ya kifo chake.

Betty White amefariki akiwa na umri wa miaka 99 na kifo chake kilichotokea siku chache tu kabla ya siku yake ya kuzaliwa ya 100 kimewahuzunisha mashabiki.

Muigizaji huyo mpendwa ameaacha alama isiyoweza kufutika katika maisha ya watu.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post