Mwenyenyumba amkataza mfanyakazi kutumia choo, Aende kwa jirani

Mwenyenyumba amkataza mfanyakazi kutumia choo, Aende kwa jirani

Kufuatia video inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok imeonesha kuzua taharuki kutokana na tukio la mwenyenyumba kumkataza mfanyakazi wake kutumii choo cha  nyumba hiyo.

Video inaonesha mfanyakazi huyo anayefanya kazi ya kuweka vigaye chini kwenye nyumba hiyo, mara baada ya kumuomba mwenyenyumba aende chooni, mmiliki wa nyumba hiyo alikataa mjenzi huyo asitumie choo chake badala yake alimwambie aende akatafute choo sehemu nyingine.

Kutokana na jambo hilo limepelekea kuzua taharuki kwenye mitandao ya kijamii kwani watu wengi walionesha hisia zao juu ya mmiliki wa nyumba hiyo, ambapo baadhi yao walionekana kuchukizwa na uamuzi wa mama huyo kukatazia choo chake.

Unadhani alichofanya mama huyo ni sahihi au amekosea?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags