Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo Dessert Safari ya Dubai, UAE.
A couple of years ago, I embarked on a safari tour with my mother to the now one of the most visited countries by Tanzania celebrities – Dubai.
Safari hii ilikuwa ni one of my most exciting ones kwani ukiachana na kuenjoy sana, nilijionea vitu vingi sana ambavyo havipo katika nchi yetu, kati ya sehemu zilizonivutia ilikuwa ni Dubai Aquarium na Dessert Safari, hivyo leo nawadokezea kidogo tu kuhusu the dessert safari.
A trip ya kwenda dessert safari ilitucost around 30 usd, ingawa kwasasa bei zimepanda hadi 35 to 45usd. Tulipatiwa gari la private na dereva ambaye alitupeleka huko jangwa la Sahara.
Njiani, we stopped in an area ambapo nilipata kununua mtandio wangu wa kiarabu na nikafundishwa namna ya kuufunga huku waliokuwa interested walienda quad biking.
Baada ya hapo, tuliendelea na safari zetu, tukiwa tumenunua zetu snacks na drinks na kuelekea mbele zaidi kwenye the desert.
Here came my favorite part: Moving up and down the sand dunes, weeh! Moyo ulihisi kupaa, a mixture of being frightened and excited.
Baada ya hapo, tulifika eneo letu la mwisho hukohuko ndani ya dessert ambapo activities mbalimbali zilikuwa zimeandaliwa, ikiwa ni pamoja na kupanda ngamia, kuchora heena, kuwatch an Arabic dance na kula vyakula mbalimbali.
It was truly an amazing experience.
Goodluck exploring the country!
Leave a Reply