Aloooooooh! Basi bwana baada ya kimya cha muda mrefu kilichomfanya Bondia wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Marekani, Hassan M...
Najua watu wengi mmeiweka hii katika bucketlist yenu. Ingawa kupanda milima sio kazi rahisi, huu mlima uliopo hapoahapa nchini kwetu n...
Hii bwana imetokea huko nchini India ambapo Wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Ubakaji na mauaji nchini humo ku...
Wananchi wa Ludewa mkoani Njombe wameiomba Serikali kuwajengea vilabu kwa ajili ya pombe za kienyeji kutokana na maeneo yao kukosa hud...
Uwiiiiiiiih! Kutoka kwa yule chawa wa kimataifa Babalevo leo bwana amethibitisha kuwa Ametuma Maombi ya Usemaji kwenye Klabu ya ...
kutoka Kibaha kwa Mathis, hapa ndipo mahali ambapo upo msiba wa Mchekeshaji Sobogani Zabron maarufu Kama Erick Kisauti ambaye amefarik...
Moja kati ya taarifa tuliyonayo ni hii hapa kutoka huko nchini China ambapo Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walip...
Serikali ya Uingereza imeahidi kuanza mchakato wakulipa fidia kwa waathirika wa ukimwi ambao waliambukizwa kimakosa Aidha Waathirika h...
Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke hii ingekuwa katika serikali yetu ninavyo wajua watu wangelala bar, moja ya taarifa zilizozua tahar...
Aloooooh! Sio powa yani wanasimba wameamka tena yani hadi mzee wa mlete mzungu bwana anatamba yeye tu uko katika mitandao ya kijamii k...
baaadhi ya walimu Wilayani Kaliua mkoani Tabora wamelalamikiwa na wazazi pamoja na walezi kwa kuwalaghai wanafunzi hao kwa kufanya nao...
Ukisia ule msemo wa hayawi hayawi sasa yamekuwa unajua mambo tayari na hivyo ndivyo unavyoweza kusema ambapo Baba watoto wa muig...
Upendo ni kitu cha bure na kuna aina mbalimbali za kuonesha upendo huo, mojawapo ni kitendo cha kukumbatiana.Katika nchi ya China, mwa...
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Msanii wa Maigizo ambae ni mchekeshaji Erick Kisauti 'Ndo hivyo hivyo' amefariki Dunia, Taarif...
Wahenga husema mapenzi ni upofu na hili limethibitishwa na binti wa miaka 15 huko nchini India ambaye alichukua maamuzi wa kujichoma d...
Aloooooooweee! Aloooootenaaa! Bwana bwana unaambiwa uko mimba sio kitu cha kukufanya ushindwe kufanya mambo yako mengine mfano kazi na...
Duuuuuuu! Ndoto nyingine hizi sio powa yani basi bwana Mwanaume mmoja raia wa nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anap...
Haya haya kwa wale mnaosema Rais wa TFF Wallace Karia kuwa ni mwanachama wa Simba bwana mwenyewe kakanusha leo kaweka wazi kuwa yeye s...
Watu nane wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 16,2022 katika eneo ya Shamwengo, Inyala...
Helooow! Natumai ni wazima wa afya sasa bwana leo kwenye mahusiano nimekuja kukomesha kile kitendo ama kauli ya kuwa mmezoeana bila ya...